Tuliosoma Azania Sec tukutane hapa

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Habari wana jamvi, hebu tukumbushane mambo mbali mbali ya shule kipindi hicho. Mimi sitasahau jinsi tulivyokuwa tunasifiwa mtaani kwa kujua hesabu sometimes tunaitwa ma Genious,..

Wewe unakumbuka nini?
 
MI nakumbuka kuwa ukiwa std 7 halafu unajaza/unachagua shule ya kwanza Azania lazima akili ziwe zinachaji kinyama.
Halafu namkumbuka headmaster Kisamo, mwalimu Luiwana Lyimo 'Meja' na mwalimu Amos 'kicheche' aliyekuwa anapenda sana kuchapa bakora, na mwalimu Rwegoshora aliyependa sana kufundisha basketball.
 
dah wana azania tunasaidians sana.mwaramy ni kichwa cha azania ambaye alinisaidia sana advance math mwana azania mwenzake
 
kama ulisoma EGM kuna madam mmoja anaitwa Frida alikuwa anafundisha geography!, daaah anafundisha poa sanaaa
 
Mie nilikuwa jirani yenu tulikutana kituoni faya kusubiria usafiri wa kwenda home.

Je mnakumbuka miungano hii.....
Azajangwa Tambazana etc.

Mie nilikuwa kinara wa kushiriki concert zote zilizokiwa zinaandaliwa na shule kuanzia Shaban Robert mzizima zanaki jangwani Azania Tambaza zoote nilikuwa shabiki namba moja na lazima nifanye performance.
Pia nilikuwa naingia tuition mbali mbali kwasababu ya. .......
Kasie.
 
Hahahaha.. Weka mwaka nikukumbuke
 
Mwalimu DATHI,wa Chemistry aliyekuwa na asili ya Kihindi kamwe sitaweza kumsahau,kwangu alikuwa mwalimu bora.hiyo ilikuwa 2002-2006
 
Mimi namkumbuka Mwl wa chemistry Ernest pia na RIP Mchwa alikuwa mwl wa zamu alikuwa hatari sana usipochomokea shati umekwisha! Ilikuwa Mwano mwaka 2000-2003
 
Mimi namkumbuka Mwl wa chemistry Ernest pia na RIP Mchwa alikuwa mwl wa zamu alikuwa hatari sana usipochomokea shati umekwisha! Ilikuwa Mwano mwaka 2000-2003
Naikumbuka lebo yangu ya ramani ya Afrika ya Blue, ule ugomvi wa Azania na Jitegemee. Dah Mchwa amefariki lini?
 
59ed09dc57228d0bf6798310455dd053.jpg

Wanafunz wa azania 2016 bado week moja tupige paper
 
Back
Top Bottom