Mimi nina GPA ya 2.7 Dip ya Ed. Nitapata chuo? Masomo Bios na Geo. Mnisaidie maelezo mliosoma equivalent qualification.
Kwa gpa hiyo nenda st joseph university hutakosa nafasi
Sent from my iPhone using JamiiForums app
KWANI MUDA WA KUTUMA MAOMBI TAYARI KWA WA2 WA SHAHADA YA KWANZA?Kama tayari tuma utapata tu.Mimi nina GPA ya 2.7 Dip ya Ed. Nitapata chuo? Masomo Bios na Geo. Mnisaidie maelezo mliosoma equivalent qualification.
SORRY KUMBE MUDA WAKE UMEPITA.Lakini mnisaidie applications zitaanza kufanyika lini kwa mwaka huu 2016/2017?KWANI MUDA WA KUTUMA MAOMBI TAYARI KWA WA2 WA SHAHADA YA KWANZA?Kama tayari tuma utapata tu.