Natafuta CD za vitabu hivi

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
420
116
Naomba Msaada Wakuu, CD za Tamthilia ya Ngoswe na Kilio Chetu. Nipo Dar, Nitashkuru Sana Kama Nitaelekezwa Wapi Nitapata CD (Vikiwa Vimeigizwa- Stage Perfomance au Drama) za Hivi Vitabu Hivi.

Nilijaribu Kupita Kwenye Baadhi ya Bookshops Lakini Sikupata.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom