Msaada wa combination"mchepuo" na fani zake

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Wakuu habari zenu
Lengo la kuanzisha thread hii kwa wadau wa elimu kuwasaidia vijana wa secondary kwa uchaguzi wa combination sahihi ambazo mbeleni zitawasaidia kupata ajira hivyo ningeomba pindi mtajapo combination mfano pcb, cbg, egm, pcm, pgm, cbn, hge, hgk, hgl, hkl, klf
Mngewasaidia kwa kuwambia fani gani wanaweza soma?
 
Back
Top Bottom