Ushauri kwa waliopitia Kada ya Engineering .

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Kwa mtu ambaye anasoma Bachelor science of civil engineering.
Nauliza hivi ni course gani nyingine ambazo natakiwa kusoma iwe (Diploma au Certificate) ambayo ina relate na field yangu ili nijiweke vzuri sana kipindi naenda kufanya interview au ninapomaliza chuo.
 
Hamna course! Interview inategemea umeomba sehemu gani??majengo, barabara au maji! Jiandae kutokana na kazi uliomba
 
Kwa mtu ambaye anasoma Bachelor science of civil engineering.
Nauliza hivi ni course gani nyingine ambazo natakiwa kusoma iwe (Diploma au Certificate) ambayo ina relate na field yangu ili nijiweke vzuri sana kipindi naenda kufanya interview au ninapomaliza chuo.
Inaitwa
Bachelor of Science in Civil Engineering sio ulichokiandika hapo Mkuu

Ww kua competent tu na ulichokisoma na confidence ndo muhimu
 
Mkuu kuna haja ya kupiga Basho ya certificate Kama vle za computer na short course mbalimbali
 
Mkuu kuna haja ya kupiga Basho ya certificate Kama vle za computer na short course mbalimbali
Mkuu we achana na mambo ya Comp.maana najua hadi umemaliza Bachelor yako unajua kutumia Comp.hasa Microsoft, na Software.........hizo short course utazisoma ukiwa kazini kwa ajili ya kuongeza maarifa
 
Back
Top Bottom