Shule nzuri za English medium Arusha

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
508
962
Ndugu, habari zenu!!

Nimehamia Arusha, ninaishi mitaa ya hapa KWA MREFU. ninatafuta shule kwa ajili ya vijana wangu wa shule ya msingi.

Ninaomba msaada, kwa mitaa hii hadi Sanawari ni shule zipi zinapatikana mitaa hii?
 
Ni vema mnaotaja shule mumtajie na uzuri wake na ada kwa mwaka
Sasa ukitaja tuu bila maekezo , na useme iko wapi , vunginevyo hujamsaidia mtoa post
 
Nenda Intel schools, one of the best school in arusha.. cheki na meneja namba yake Ni 0765248506
 
ipo shule sombetini ni nzuri sana mfumo wa ufundishaji wake ni wa juu sana inaitwa BRIGTHSOUL Ipo chini ya kanisa la kkt juu kidogo ya shule ya imani fika shuleni uwaone walimu itafunguliwa 02/05/16
 
ada yake kwa primary ni 130000/= na baby&pre unity ni 100000 kwa muhula usafiri kwa mwezi maelewano kwa umbali wa unapoishi. wanafundishwa maadili nidham na stad za kazi pia
 
Nenda Intel schools, one of the best school in arusha.. cheki na meneja namba yake Ni 0765248506
Hawa INTEL SCHOOL wapo kona gani jamani? Simu yao haipatikani.

Kama nipo Mianzini, ninafikaje Intel shuleni?
 
Back
Top Bottom