ushauri hp

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
 
Kama hujui kughushi ulighushia ya nini? Pia huwa unaangalia wa kumghushia wengine wanoko sana wakijua msala. Nenda ukaongee nae tu, ungama uombe fomu nyingine ujaze, kama una madeni yalipe upate saini hizo
 
Back
Top Bottom