Je kuna madhara gani kama hutoenda JKT?

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Hii ni kwa wahitimu wa kidato cha sita. Je, mtu aliyechaguliwa kwenda alafu asiende atakumbana na madhara gani huko mbeleni? Je, hatachaguliwa kwenda chuo?

Naomba majibu yasiyo na jazba, nimeulizwa huku uswazi nikajikuta sina jibu
 
hakuna uhusiano wowote kati ya kutoenda jkt na kuchaguliwa kwenda chuo,,, wew saiv sahau kuhusu jkt uhakikshe kwamba unajua nn hatima ya loan board kwanz
 
Hii ni kwa wahitimu wa kidato cha sita. Je, mtu aliyechaguliwa kwenda alafu asiende atakumbana na madhara gani huko mbeleni? Je, hatachaguliwa kwenda chuo?

Naomba majibu yasiyo na jazba, nimeulizwa huku uswazi nikajikuta sina jibu
Madhara yapo lakin kwa ss hatuwez kuyafahamu cause kwa akili ya kawaida haiwezekani serikali igharamie kias kingi cha fedha pasipo azimio maalum
 
Back
Top Bottom