barwani
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 238
- 160
Wadau habari za muda huu,jamani mimi naomba kujuzwa juu ya vigezo vinavyotumika kumpandisha cheo mwalimu,maana kwangu ninaona kama ni jambo la bahati nasibu.
Mfano,kuna waraka ulotoka wa 2016 ambao unelezea walimu waloajiriwa 2012 na 2013 wapandishwe madaraja,sasa ukakasi unakuja kipaumbele wakapewa wa 2012 na 2013 wakatengwa,ila kuna maeneo 2012 wamepandishwa pamoja na wa 2013
Kama ni mlengwa au una uelewa juu ya huo waraka na ni lini unatakiwa uwatendee haki wahusika msaada PLEASE...!!