Bila shaka utakuwa kati ya waliomaliza kidato cha sita ambao hawajapangiwa kambi(mujibu wa sheria).
Kwa kipindi cha nyuma kulikuwa na awamu mbili tofaut kutokana na mda uliruhusu ila kwa sasa mda ni mchache hiyo ndo imetoka...kila mtu aliyepangiwa ana bajeti huko aendapo kama hujapangiwa huna bajeti.
Pumzika tu nyumbani haikupangwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.