Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Naomba tusaidiane waungwana kwenye tofauti ya mtu aliyekunywa bia na aliyekunywa soda.Mimi naamini kua aliyekunywa bia ametumia kinywaji ambacho kimetokana na natural chemistry na aliyekunywa soda ametumia kinywaji ambacho kimetokana na artificial chemistry ambayo ina madhara zaidi kwa mwili wa binadamu.