maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Kwa vile ilifika mahali nchi ikawa inaendeshwa kwa mihemko na mitazamo ya watu wachachena si taratibu ama misingi ndipo sijui kwa kipimo na kigezo kipi eti kikaanzishwa kitu walichokiità BIG RESULT NOW ambamo wanafunzi wa darasa la sita wanapimwa kwa mtihani wa taifa kabla ya kuingia darasa la saba baada ya kugundulika kuwepo kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza ilhali hawajui kusoma na kuandika.
Nina uhakika waziri wa elimu ukilitupia jambo hili macho utagundua maajabu ya Musa, hakuna cha kupima chochote isipokuwa ile ni mbinu ya wßakubwa fulani kutengeneza ulaji tu, BRN ya darasa la sita haina lolote. Ifutilie mbali.