Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie kwenye account yake lakini ukweli ni kwamba mpaka sasa hela yake haijaingia kwenye account .
Ameenda muuuliza loan officer Jana majibu aliyopewa yanasikitisha sana kwamba ile hela imetolewa na Bodi kwa cheki kwa hiyo asibiri ndani ya mwezi itaingizwa
Ndugu zangu nipeni elimu Mimi kwangu inanipa shida kidogo hela inayotolewa kwa cheki ikae mwezi kweliiiiii
Kijana mpaka wanamkimbia wadada slivoniambia ananuka mdomo kwasababu hali chakula.
Prof .Ndalichako unasimamia wizara ya elimu saidia vijana hawa wa chuo hiki wakisaini mikopo wapate kwa wakati
Hakika wanateseka jamaa li loan officer wao linajibu ipo kwenye process lakini process ndo ikae mwezi ........
Uzembe huuuu utawagharimu soon IAE.
Hela ya cheki sio yakukaaa mwezi jamaaa angu ansteseka sanaaaaaa.
Mwisho .Kauli mbiu ya muheshimiwa JPM ni Hapa kazi tu je hawa Watu wa IAE kwa madudu haya wanayoyafanya kutesa watoto wa mamaskini wanaendana kweli. na kasi hiiiii kama hapana watumbuliwe nashauri.
Am done.