Tetesi: Ajira za walimu 2016

Ambao hamjaajiriwa mbuni shughur zingine sabab wadau wanaochangia budget ya tz wamejitoa sasa ni muda wa kubana matumiz wa serikal
 
Poleni mnaosuburi ajira ndiyo mifumo ya nchi yetu ilivyo humu mtandaoni mtapewa matumaini,lugha za kuwaudhi,na maneno ya shombo ila ukweli utakuja kujulikana baadae mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kuhusiana na ajira za 2015/2016. Mwaka jana tulisikia mengi sana ila mwisho wa siku tukajua mchele upi na pumba zipi kumbukeni humu kwenye majukwaa wanapita watu wengi sana wengine wanaponda wanapoona mnazungumzia ajira wakati wao wamesota kitaa mpaka hakieleweki ila ninavyojua mimi ajira mtapata tu wiki mbili zilizopita tulikuwa tunaaandaa taarifa juu ya walimu shuleni ikiwa inasehemu tatu walimu waliopo shuleni,uhitaji,upungufu .Hivyo msiwe na presha suala ni kuvuta subira kweli kitaa kinachosha sana kama huna cha kufanya daily unanunua bundle kuingia mtandaooni kupata info juu ya ajira walengwa msiwe na jabza .
 
bora ww umeongea kiungwana!ila unadhani itakuwa lini hiyo?maisha yametuchora sana ndugu
 
Hivi kuna watu sijui wanaishi kwenye mashimo halafu wanazibuka kuja JF? Waziri mkuu alishasema ajira ni Julai halafu juzi Waziri wa TAMISEMI amerudia kutoa tamko la ajira mwezi Julai lakini bado kuna watu wanakuja na upuuzi eti sijui tetesi!
 
Tetesi ni mwezi April kaeni mkao wa kujiandaa!!!
19927dd77bb0aafa66900301c6ef87bc.jpg
 
Hivi kuna watu sijui wanaishi kwenye mashimo halafu wanazibuka kuja JF? Waziri mkuu alishasema ajira ni Julai halafu juzi Waziri wa TAMISEMI amerudia kutoa tamko la ajira mwezi Julai lakini bado kuna watu wanakuja na upuuzi eti sijui tetesi!
aa6e71a3ea48ae7e110be986f3adb56a.jpg

Kwahiyo waziri kalidanganya bunge tar.27 (jana)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom