mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Kila nikiangalia vyuo vyetu hapa Tanzania nione katika Ubora wa vyuo bora Duniani hata 100 bora hatupo hivi tatizo nini wadau?
Argument zako zina logic,sasa kama leo hii tunaambiwa tuanze jitihada za kuiweka ELIMU yetu sehemu furani hili iweze kujulikana Duniani,je itatubidi tuanzie wapi wadau.1. Impact ya research tunazofanya iko kwenye scale ya minor to useless.
2. Hatuna maandiko au machapisho mengi kwenye issues mbalimbali kama waliotuzidi kwa ubora.
3. Ushiriki wetu kwenye mada mbalimbali zinazotaka taaluma hasa katika mitandao ni mdogo au haupo kabisa.
Wewe utakuwa shahidi kuwa ukiandaa midahalo vyuoni hupati watu, labda uwape hela na msosi. Ila ukiandaa disco unaweza kupata hata urais wa chuo.
Mimi nimeangalia sana wanachuo, unaporaise hoja iliyokaa kitaalam au kiresearch unaonekana mnoko. Watu wanataka mjadili mademu na wasanii au movie.
Hakuna chuo chochote africa kwenye top 100 za vyuo vikuu dunianiKila nikiangalia vyuo vyetu hapa Tanzania nione katika Ubora wa vyuo bora Duniani hata 100 bora hatupo hivi tatizo nini wadau?
mi nadhani cha umuhimu tuangalie chuo bora africa and then linganisha na vyuo vyetu alafu tujue nini tunakosea....angalia Rhodes,capetown university na stellenbonsch utajua kua bongo bado sana sanaKila nikiangalia vyuo vyetu hapa Tanzania nione katika Ubora wa vyuo bora Duniani hata 100 bora hatupo hivi tatizo nini wadau?
kwani ubora wa vyuo unapatikana kwa kulinganisha nini?mi nadhani cha umuhimu tuangalie chuo bora africa and then linganisha na vyuo vyetu alafu tujue nini tunakosea....angalia Rhodes,capetown university na stellenbonsch utajua kua bongo bado sana sana
Research, quality ya elimu, walimu na research zao,mazingira ya chuo, quality ya wanafunzi wanaotoa na vingine kibaokwani ubora wa vyuo unapatikana kwa kulinganisha nini?