Habari njema kwa walimu wanaosubiri ajira

SniperBoi

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,103
1,128
Naibu Waziri Ofisi Ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo, amewatoa hofu wahitimu wa Kozi ya Ualimu ambao wamekuwa wakisubiri ajira kwa muda mrefu.

Akizungumza na mtembezi.com leo Jijini Dsm Naibu Waziri Jafo amewataka wahitimu hao kuwa na subira kwani ajira hizo zitatangazwa muda wowote kutoka hivi sasa, huku akiwahakikishia kuwa wizara yake kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu wamejipanga kuhakiki idadi ya walimu wanaohitajika.

Ameongeza kuwa licha ya uhakiki huo pia wizara yake inamalizia takwimu za walimu waliostaafu kazi pamoja na waliohama kutoka shule binafsi ili serikali iweze kujua idadi halisi ya nafasi zinazoitajika.

Jafo ameiambia Mtembezi kuwa mwaka huu serikali inampango wa kuongeza idadi ya ajira za Walimu hadi kufikia Walimu 40,000 katika ngazi za Shule za Msingi na Sekondari.

Kuhusu ajira hizo Jafo, amefafanua kuwa mikoa ya Kigoma, Mara, Tabora na Rukwa ndio itapewa kipaumbele kwani ndio inaongoza kwa kuwa na idadi ndogo ya Walimu na hii itapunguza kasumba ya wahitimu kozi ya ualimu kupenda kuajiriwa mjini.kwa uhakika ingia www.mtembezi.com
 
b2a8f6a1e8c5a403c2aeaed0d09e7754.jpg
 
Nina ulakini na hii habari
 
Miee piaa nimeionaa!.....

But swalaa la kujiulizaa kwanini wanatoaa kauli zinazopinganaa!?....

Wazir na naibuu wazir hawaelewekii cha msingii ni kutuliaa tuuu na kuwaachaa wafanyee wanavojisikiaa......
 
Hee yan walim kwel mmevurugwa, yan...heheheee mbona hiyo tovut haina hiyo taarifa unayoiita et habar njema? Mkuu Jiheshim
#ajira zitatoka tu walim wenzng tuwe na sub'ra
 
Back
Top Bottom