Matumaini yangu mu wazima wa afya. Mimi mwanafunzi niliyechaguliwa katika shule hiyo, naomba mwenye kuifahamu anijuze sehemu ilipo na mambo mengine kiujumla. Nimechaguliwa PCB
Iyo shule watu wengi wanapakimbia sana,nakumbuka mwaka jana wana kibao waliamia rungwe boy,wanasema pale amna walimu,afu viongozi ndo wababe wanapokonya adi simu.ukifika utajionea kiuhalisia zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.