Nini tofauti kati ya Bachelor of Laws na Bachelor in Law Enforcement?

lizabriana

Member
Jun 20, 2016
27
11
Nini tofauti kati ya Bachelor of Law na Bachelor in Law Enforcement?

Na je, mtu akisoma kozi hizo, kazi zao zikoje?
 
Nini tofauti kati ya Bachelor of Law na Bachelor in Law Enforcement?

Na je, mtu akisoma kozi hizo, kazi zao zikoje?
Kwa lugha rahisi, ukisoma LL.B au law unakuwa mwanasheria/wakili. Ila ukisoma law enforcement huwezi fanya kazi kama wakili, hii ni kozi special kwa mapolisi hasa wa uhamiaji!!!! kama unapenda sheria nakushauri usome LL.B au Law!!
 
Law enforcement ni moja ya kozi mpya mpya TZ inatolewa UDSM tu.....ukisoma hiu unafit kuwa private investigator au mfanyakazi wa taasisi yeyote inayohusika na utekelezaji wa sheria kama magereza,TFDA,PCCB,police,uhamiaji na kwingineko kana insurance companies...kozi zao nyingi huwa ni sheria,investigations, public administration. ...sociology. ..logstic...tecno mathematics..intelligence. ..iCT na research...LLb ni traditional law...unakuwa lawyer,magistrate,legal advisor n etc...
 
Kwa law enforcement (BALE) Diploma na certificate hamna labda ukasome nje. Llb diploma na certificate zipo.
 
Kwa lugha rahisi, ukisoma LL.B au law unakuwa mwanasheria/wakili. Ila ukisoma law enforcement huwezi fanya kazi kama wakili, hii ni kozi special kwa mapolisi hasa wa uhamiaji!!!! kama unapenda sheria nakushauri usome LL.B au Law!!
Asante my kwa kunfumbua macho
 
Back
Top Bottom