Kwa hizi marks anaweza somea diploma ya ualimu wa sekondari?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Binamu yangu Form 4 alipata C 4 na D 2 na sasa amemaliza certificate ya maendeleo ya jamii jee akiaply ualimu wa sekondar atapata?
 
Hapo a apply diploma in primary education au aende A level ili baadae akija kufanikiwa aende elimu ya juu au diploma in secondary education
 
wew ualimu cio kirahic kiivyo kwa kutokea form four then ualimu wa sekondari..komaaa advace kwanza..
 
Back
Top Bottom