Natafuta tempo ya ualimu

Natafuta tempo ya ualimu

tumia muda huo kujisomea au kupractice kwenye hospital.
 
Nasoma MD Hubert Kairuki.Nakuja mwanza likizo mwezi wa nane, natafta tempo ya kufundisha Pysics,Chemistry,Biology.Mwenye hitaji tuwasiliane by PM
Samahani naomba nikuulize, hivi kairuki kwa nursing wanaongeza kiasi gani na direct cost pia ni tsh nagpi? Geto maeneo ya chuo ni bei gani pia.
 
Daktar anataka ualimu. Ungesomea ualimu wa hayo masomo ila ilimradi umesoma udaktari tafuta tempo ya udaktar mkuu
 
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea www.hamafasta.com
Itume kwenye magroup na whatasup inaweza kuwasaidia wengine.
 
Back
Top Bottom