MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,275
- 1,240
Tuzo ya Mo Ibrahim ilianza mwaka 2006. ilianzishwa na mfanyabiashara Mwingereza mwenye asili ya Sudan aitwaye Mo Ibrahim. lengo ni kuwapongeza viongozi wa Kiafrika waliofanya vzr ktk kukuza uchumi, kuleta ustawi mzuri wa maendeleo na utawala bora. mshindi kila mwaka anapata sh. bilioni 10
kwa mwaka jana JK wa Tz, Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbiji walishindanishwa kama marais wanaostaafu. kwa bahati mbaya hakukuwa na mshindi mwaka jana yaani katika hao watatu hakuna aliyekidhi vigezo.