Msaada jinsi ya kuapply mkopo

Mimi ni mwanafunzi niliyefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu naomba msaada kwa yeyote ajuae jinsi ya kuapply mkopo

Uko wapi mdogo Wangu? Nimekuonea huruma. Nenda internet cafe watakusaidia ila kama uko Morogoro NITAKUSAIDIA. Bure.
 
Back
Top Bottom