Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wadau wa elimu ningependa kuwafahamisha kuwa shule ya secondary kyela iliyopo mkoani mbeya inasababisha watoto wenu kufanya vibaya mitihani yao. ZIFUATAZO NI SABABU ZA WANAFUNZI WA KYELA...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
kuna watu waliomba kuunganishwa kwenye group la whasapp kuhusu mambo ya scholarship hivyo wanitumie jina na namba kwenye 0754487943
1 Reactions
0 Replies
856 Views
Nasikitika sana kwa hii serikali ya JPM kutolivalia njuga hili swala la sisi wasimamizi wa mitihani ya necta kidato cha nne 2015. Tumeifanya kazi kwa moyo mkunjufu na kwa uaminifu lakini mnatuona...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu waliopangiwa Pugu au kusoma Pugu high School, A-level tuonane hapa. NB: Naomba mnitumie picha za Pugu boys mtoto wangu kapangiwa hapo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba anayejua vitu ambavyo vinahitajika katika kuomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017 Anisaidie jamani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TAARIFA KWAMBA BODI HAINA FEDHA Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ETI WADAU, nahitaji kujua manufaa ya comb za PCM na PCB kwa upande wa course chuoni.,yaan katika PCM kuna uwanja wa course zipi na katika PCB kuna course zipi naweza kuchukua baada ya kumaliza...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
ETI WADAU, nahitaji kujua manufaa ya comb za PCM na PCB kwa upande wa course chuoni.,yaan katika PCM kuna uwanja wa course zipi na katika PCB kuna course zipi naweza kuchukua baada ya kumaliza...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Habbari zenu wana jf natumai wote wazima Post hii n kwa wale wote walio pangiwa Mara sec kwa yeyote swali kuhusu shule hii aniulize ntamjibu By mgeni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bado sijaelewa mwenendo wa elimu na vipaumbele vyake kwa sasa. Kipindi cha JK msisitizo ulikuwa katika masomo ya sayansi ili kupata wataaluma na wataalamu katika tasnia ya sayansi. Hivi sasa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
TAMISEMI mnakuwa wa ajabu sana. Kiuhalisia mtu utasomaje mchepuo usioupenda na wakati sababu za watu kuhama zipo kabisa. Kwanini mwaka huu TAMISEMI mtoe tamko la nafasi za kuhama hazipo shule na...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Hei wana jf kama kichwa habari kilivyo leo nimetembelea blog flan www.jamiiforums.com nikakuta nanukuu KAMA ULIFANYA APPLICATION ZA CERTIFICATE AND DIPLOMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI MWAKA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada, kama kuna mtu unaweza kuwa na mawasiliano ya shule ya secondary msolwa
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanabodi mwenye scale mpya za mishahara atuambie hasa idara ya elimu.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
:)habari zenu waheshimiwa, naombeni msaada jamani, nahitaji nijifunze exel online nafanyaje waungwana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jamvi naombeni mwenye kuijua hii shule mazingira yake na maendeleo yake anijuze tafadhari. Dogo wangu kapelekwa hapo PCB ila kunamtu kanambia hiyo comb haipo pale. Mwenye kuifahamu...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
kama kuna mtu anaifahamu vizur shule ya A-level myovizi sec et ina comb za PCBor PCM coz kwenye joining instruction siion na ipo mbeya ..nisaidien kupata joining instructio ..plz plz
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema Serikali inaandaa utaratibu wa kuweza kukopesha wanafunzi wote wahitaji wa elimu ya juu bila kujali kozi wanazosoma, yaani bila kuzingatia kozi za...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
MAOMBI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU 2016/2017 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kutoa taarifa kwa Umma na wadau wake wote kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wote form six waliomaliza mwaka huu na hawajaenda JKT tukutane hapa tubadilishane mawazo.......unataja kombi uliyosoma ....pamoja na shule.......mi KIBAHA BOYS(ECA) Haya twende sasa..........
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom