wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,713
- 2,137
Poleni sana wana jamvii nilitaka kujua hivi mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu kwa mwaka huu itatolewa kwa wale waliopata division1&2 kwa mwaka huu?
Maana huu uvumi umeenea sana kiasi kwamba umezua sintofahamu kwa baadhi ya wahitimu haswa ukichukulia maamuzi mengi kwa mwaka huu ni ya hapo kwa papo je kuna ukweli wowote kwa hili?