Naomba msaada wenu ni kozi gani nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mtu ambaye amusoma hkl

Mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana na hii inasikitisha sana. Huyu bwana mdogo tangu anachagua HKL masikini alikuwa wala hajui anataka kuja kuwa nani!!! Kuna kitu inapaswa tufanye ili kusaidia taifa letu. Mimi nashauri wale tulio na elimu ya utaalamu mbalimbali tuanzishe utaratibu wa kutembelea shule za sekondari na kuwaeleza vijana mambo wanayoweza kukutana nayo katika fani mbali mbali (hii ikiwa ni pamoja na changamoto, upatikanaji wa ajira na uzuri wake). Pia tunaweza kueleza na namna ambavyo mtu anaweza kufikia steji fulani ya utalaamu. Kwa mfano kama tu angependa kuwa mwalimu ni vipi asome na kujiendeleza kielimu. Vinginevyo tutaendelea kuwa na vijana kama huyu ambao hawajui kwa nini wanasoma HKL!
 
Mjasiria so kwamba ckujua ntasoma nn kunaktu ninacho na ndio maana nliweka bdii hadi kufika hapo kuuliza c ujinga km unavodhan bali nikujua zaid km hujickii kumsaidia mtu tulia
 
Mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana na hii inasikitisha sana. Huyu bwana mdogo tangu anachagua HKL masikini alikuwa wala hajui anataka kuja kuwa nani!!! Kuna kitu inapaswa tufanye ili kusaidia taifa letu. Mimi nashauri wale tulio na elimu ya utaalamu mbalimbali tuanzishe utaratibu wa kutembelea shule za sekondari na kuwaeleza vijana mambo wanayoweza kukutana nayo katika fani mbali mbali (hii ikiwa ni pamoja na changamoto, upatikanaji wa ajira na uzuri wake). Pia tunaweza kueleza na namna ambavyo mtu anaweza kufikia steji fulani ya utalaamu. Kwa mfano kama tu angependa kuwa mwalimu ni vipi asome na kujiendeleza kielimu. Vinginevyo tutaendelea kuwa na vijana kama huyu ambao hawajui kwa nini wanasoma HKL!
ni kweli kabisa mkuu lazima elimu itolewe coz watu wengi hatujui misingi ya combination zetu badala yake tunaenda tu kwa sababu tu tumechaguliwa na TAMISEMI hata mimi nimesoma hgk ila cjui kitu chochote ila sio vibaya kama tutasaidiana kujua mkuu.
 
Back
Top Bottom