Kubadili kituo cha kazi

Mwadu

New Member
Jun 30, 2016
3
1
Jaman natafuta mtu wa kubadilishana nae cha kazi
Niko rombo nataka kwenda
Arusha
Wilaya ya Arusha Dc au
Arusha Jiji
 
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea www.hamafasta.com
Itume kwenye magroup na whatasup inaweza kuwasaidia wengine.
 
Back
Top Bottom