Wapendwa wasomi wenzangu, naomba kujuwa zile form za application and agreement zilizo katika Guidelines ya 2016/2017 kwenye ukurara 18 na 19 tunazijaza na kuzituma wakati gani? ama tunazichanganya na hizi ambazo tunaomba sasaivi na kuzituma posta??.
Nishaziprint lakini naomba majibu nili nianze kuzijaza.
Ahsante
Nishaziprint lakini naomba majibu nili nianze kuzijaza.
Ahsante