Kubadilishana kituo cha kaz idara ya sekondari

mwachisabwe kibona

Senior Member
Aug 5, 2014
116
27
Kwa niaba ya mwalimu wa shule ya sekondari kisangara mwanga anaomba kubadilishana kituo na mwalimu yeyote aliye tayari kutoka morogoro municipal,au mvomero kwa mawasiliano awasiliane nae kupitia 0718598076
 
Back
Top Bottom