NACTE selection

pesa maua

Member
Jun 13, 2016
35
17
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application Mara mbili kwa cheti kimoja miaka miwili tofauti...!!!kama unawasiwasi na cheti chako jiandae mapema...!!!
Hapa kazi tu
 
tupe chanzo cha habari yako
 
Ukiwa muongo utazame na unapodanganyia, NACTE ila kitu kipo kwenye system unaingiza taarifa zako(Form iv index No)
wanakuletea matokeo na kila kitu sasa utawezaje kudanyanya ama kutumia vyeti tofauti? hebu tuangalie hapa ni jukwaa lenye watu wenye uelewa tofauti na huwezi kuleta mzaha kwenye issue sensitive kama hii inayotugusa sote kama si wewe mwanafunzi, basi ni mzazi wa mwanafunzi ama kaka au dada wa mmwanafunzi.
jitathmini....
 
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application Mara mbili kwa cheti kimoja miaka miwili tofauti...!!!kama unawasiwasi na cheti chako jiandae mapema...!!!
Hapa kazi tu
Acha kupotosha umma wew hyo habri umetolea wap?
 
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application Mara mbili kwa cheti kimoja miaka miwili tofauti...!!!kama unawasiwasi na cheti chako jiandae mapema...!!!
Hapa kazi tu

hawa viumbe wanatokea wapi kila wakati !!! weka source pumbavu.
 
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application Mara mbili kwa cheti kimoja miaka miwili tofauti...!!!kama unawasiwasi na cheti chako jiandae mapema...!!!
Hapa kazi tu
Kk usipost vitu kwa kujisikia unaweza teketea kwa kutojua sheria Za mitandaoni kama kuna uwezokano delete kabisa usifurahishe nafsi then ikajiponza elewa mitaa usikalili unamjua magu
 
Chuo mwezi wa kumi na moja....nyie bisheni ila huo ndo ukweli
Huwa sina ubishi Sana Kwa lisemwalo, sasa naomba unieleweshe mm hapa nilipo mwaka Jana niliomba na nikapata kweli lakini kulingana na kipato cha nyumbani sikuweza kwenda kusoma.mwaka huu nimeomba tena je Kwa issue unayoisemea na Mimi nitakumbwa na huo mfagio?.
 
Back
Top Bottom