ndio brother penye nia pana njia KAZI NI KWAKO TU!naweza kusoma QT masomo ya science na kuja kuwa doctor,mi nina miaka 21 msaada juu ya hili
sijawahi kabisa kusoma sekondari ,asante kwakunitia moyoSijaelewa, kwa nini QT .? hujawahi kusoma sekondari.? au ulisoma ukafeli.? BTW inawezekana kabisa ukikaza,wanasema "MEDICAL KNOWLEDGE IS NOT CONGENITAL ,YOU MUST STRUGGLE TO ACQUIRE"
Hata Ben Carson aliwahi kua kilaaza, ila alivoanza kustruggle kiukweli ndio akafanya yote haya tunayoyjua