GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Walimu shuleni wanakimbizana kumaliza SILABASI badala ya kumaliza ujinga. Ndio maana utakuta mtoto wa darasa la saba anamaliza hajui kusoma wala kuandika.
Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda mashuleni KUKAGUA KAMA WALIMU WAMEMALIZA SILABASI, huku wakiacha vipaji vya watoto walivyozaliwa navyo vikiangamia.
#GedsellianTz
Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda mashuleni KUKAGUA KAMA WALIMU WAMEMALIZA SILABASI, huku wakiacha vipaji vya watoto walivyozaliwa navyo vikiangamia.
#GedsellianTz