Naomba msaada kwa wale waliopitia private candidate wakiwa o-level wakati wa kununua vocha via M-pesa kwa ajili ya application za mikopo na wanatumia index number ipi?? Maana wanakua na vyeti viwili vyenye index number tofauti.
kinachotakiwa uweke index number yoyote ile na system itakueleza labda kama kuna second seat ndipo utaweka nyingne hata kama umerudia mara10 mfumo utakuelekeza tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.