Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,176
- 17,335
Kuna ndgu yangu ana miaka 32 kamaliza 2009 PCB akafanikiwa Ku score div ii ila bahat mbaya aliugua mwaka Jana akapona ....mwaka huu alikuwa NA mpango wa kuapply MD,tatizo linakuja heslb wametoa muongozo kwamba kwa yeyote atakayeomba mkopo sharti asizid miaka 30....Huyu MTU bila loarn hawez soma Ushaur tafadhali.