Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 286
- 324
Msaada kwenye fomu za maombi ya mikipo Heslb,vp hapa kwenye kuambatanisha nakala ya cheti cha form6 sasa inakuaje hapoo na uku vyeti na result slip badooo[emoji17] [emoji17] na mwisho ni 31 July msaada plz wakuu.