Kama ni faculty angesema Health. MD na Pharmacy na kozi zingine za afya zote zipo ndani ya hiyo faculty. Kuna tofauti zake. Kuna faculty za engineering,business,na nyinginezo ambazo ndani ya hizo faculty kuna kozi za aina mbalimbali.Hawaiti "faculty" Bali ni "degree programa" au basi hata uite 'kozi" gani ya kusoma. Download TCU guidebook utapata muongozo.
nakusahihisha mkuu kama hana division one ya mwnzo asijiaumbue. aende education tuu tena sababubamesoma sayansi ana uhakika wa ajira. najua vyuo vy private wanachukua hata divison 3 ila ada hata iweza milioni5 mpaka 6 sio ndogo. serikali inamopa milion3.1 hio nyongine aongezee ila kama zipo basi poa MD ataisomakama ukipa division 3, achana na hayo mambo udaktari njoo usome education.
Mnasomaga hata guidebook ya TCU tu au mnakoment ili mradi umekomentnakusahihisha mkuu kama hana division one ya mwnzo asijiaumbue. aende education tuu tena sababubamesoma sayansi ana uhakika wa ajira. najua vyuo vy private wanachukua hata divison 3 ila ada hata iweza milioni5 mpaka 6 sio ndogo. serikali inamopa milion3.1 hio nyongine aongezee ila kama zipo basi poa MD ataisoma
mkuu usiwe mbishi bana me mwanachuo nko mwaka wa kwanza brn hapa. kwa kutumia division unaweza convert kwenda GPA so we uliesema point na mimi niliesema division hamna tofauti kikubwa ujue namna ya kuzipata hizo point, ndio muhas MD minumum ni point7 sasa hiyo division unashiundwa ku balidisha kweli hapo kwenda GPA? acha kukariri maisha ndo maana watanzania hatufanikiwi sababu tunatumia njia zilezile zinazosemwa vinywani mwa wengiMnasomaga hata guidebook ya TCU tu au mnakoment ili mradi umekoment
1. Muhimbili point kwa mvulana point 7 msichana point 6
2. Bugando MV point 7 ms point 6.
3. UDOM point 5
4. Hubert kailuki 4.5
5. KCMC 4.5
Chuoni unachaguliwa kwa kuangalia points sio division
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
F-0
Sijui mgawanyiko wa points kwa maksi za sasa za BRN,
Hahahah.Mnasomaga hata guidebook ya TCU tu au mnakoment ili mradi umekoment
1. Muhimbili point kwa mvulana point 7 msichana point 6
2. Bugando MV point 7 ms point 6.
3. UDOM point 5
4. Hubert kailuki 4.5
5. KCMC 4.5
Chuoni unachaguliwa kwa kuangalia points sio division
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
F-0
Sijui mgawanyiko wa points kwa maksi za sasa za BRN,