I Ilambo JF-Expert Member Oct 19, 2012 475 88 Jul 6, 2016 #1 Nauliza km ulikosa mkopo mwaka jana ukasoma ivyoivyo ukiomba tena mwaka huu utaomba km continous au utaomba km wanavyoomba wengine fresh
Nauliza km ulikosa mkopo mwaka jana ukasoma ivyoivyo ukiomba tena mwaka huu utaomba km continous au utaomba km wanavyoomba wengine fresh
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,020 Jul 6, 2016 #2 Continuous na unapata coz ulishasoma