Kwa wale tuonasubiria ajira sekta ya Afya

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
812
299
Tafadhali naomba kujuzwa Ajira za nursing znapangwa Nani? Wizara ya afya au Tamisemi? Utaratbu unakuaje? Msaada plz 0653447793
 
Pia naomba kwa aliye ajiriwa, Au anasubiria tukutane hapa
 
Hata walioajiriwa recently wamerudishwa nyumbani bila hata nauli. Vumilia serikali iko busy kwanza na watumishi hewa. Asante kwa kunielewa
 
Hivi hawa wanaosubiri ajira ni ngazi gani,degree au diploma au cheti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom