Diploma gan hiyo hasa make diploma na nyingi kozi gan hasa..?? Umesomea masomo gan na unataka ukasomeee kozi gana hasa..?? Lakin kabla hatujafika mbali..kuna kitu kinaitwa special diploma ambayo mwanzoni walichukuliwa kwenda kusoma pale UDOM na walipewa mkopo pamoja na hela ya kujikimu(BUMU) lakini utawala wa magufulu umetupilia mbali swala hilo na umeona kabsa kuwa wamerudishwa nyumbani wote waliokuwa wanapata ofa hiyo...cha msingi labda upate sponsor akulipie ndo itakuwa ofer hiyo but for dis time serikli imefutilia mbali swala hilo..nafikir utakuwaashahid kwa kilichotokea udom mwezi uliopita..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.