Tuliofikisha G.P.A 3.5 MPAKA 4.5 tupongezane hapa

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,066
1,293
Hii mada ni kwa ajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamani asikwambie mtu kufaulu ni raha.

A=5, B+=4, B=3, C=2
GPA=E(GRADE POINTS * CREDIT HOUR)/E TOTAL CREDITS

E=SUMMATION
HINT: kila soma lina ctedit hour yake
mfano, DISCRETE MATHEMATICS 18
PROGRAMMING 14

Tujipongeze kwa kutaja kozi uliosoma na G.P.A yako naanza mimi hapa
ODINARY DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE G.P.A 4

Update

Rais Magufuli alisema "VYUONI TUTAENDA VIPANGA TU"

update:
kunawatu wanawivu sana tanzania hata kama umepata 4.5 sehemu yoyote hata juu ya gorofa alafu chini kuna maduka ni yako ulisoma sana ndo maana umevuna ulichopanda ni kweli mi sikwenda advance lakini ukimchukua mwanafunzi T.O wa Tabora boys na mm wote tukaapply UDSM computer science nani atamfundisha mwenzie? so muache kuzalau watu tuliotoka diploma jamaan mm diploma juuu zaidi na tutawakimbiza bachelor kwasababu sisi tunafanya marudio
 
hii mada ni Kwaajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamaaan asikwambie mtu kufaulu ni raha.
Tujipongeze kwa kutaja kozi uliosoma na G.P.A yako naanza mm hapa
ODINARY DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE G.P.A 4

update
rais magufuri alisema "VYUONI TUTAENDA VIPANGA TU"
Certified Kilaza:D:D
 
Hii mada ni kwa ajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamani asikwambie mtu kufaulu ni raha.

Tujipongeze kwa kutaja kozi uliosoma na G.P.A yako naanza mimi hapa
ODINARY DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE G.P.A 4

Update

Rais Magufuli alisema "VYUONI TUTAENDA VIPANGA TU"

Hiyo G.P.A kubwa imekusaidia nini kimaisha?
 
Nilipiga community development GPA iko powa sana nafit qualification za TCU na kubaki ziada ya kutosha.
 
Diploma in Business Information and Communication Technology (DBICT).
G.P.A 4.0

Onyo:
Shule sio sehemu ya starehe jamani, yahitaji umakini na nidhamu ya hali ya juu ili kufikia malengo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom