Matokeo kidato cha sita 2016

Genius1

Member
May 3, 2014
28
11
Wakuu kama kuna mtu anaefahamu tarehe ya matokeo kutoka ya kidato cha sita 2016.. anisaidie
 
Duh..! Roho juu juu nikadhani yametoka kumbe swali. Matokeo bado ndugu yangu. Ngojea kidogo nadhan tuna wiki moja hivi mbele. Tutaendelea kujulishana...
 
Wakuu kama kuna mtu anaefahamu tarehe ya matokeo kutoka ya kidato cha sita 2016.. anisaidie
Leo wameruhusu kuanza kuomba loan na ujue wakitoa loan board tangazo nao NECTA hawako mbali... which means hayana muda watayatoa!!!! Sizani kama yatavuka wiki mbili!!!!!
 
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
 
si wote ambao hatujaenda tumekwepa kwenda kaka
personally sikuchaguliwa kwenda hata shuleni kwetu tumemaliza almost 207 students but waliochaguliwa kwenda hawazidi 50
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
 
Ooooh tunaposema kuisoma Namba ndiyo hivyo, ulipoona hujachaguliwa kwenda JKT ungefuatilia kwenye kambi iliyo Karibu nawe!!
 
hivi ni kweli imepitishwa eti ukipata division 3 form six huendi chuo kikuu kwamba universities tanzania ni kwa ajili ya div 2 na div 1.
 
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
we vp kama hujui mambo yalivyo si uulizage?????
alokwambia sisi tulobak nyumban sio watii ni nan heeeeh kanawe uso ndo umeamka wew
 
Back
Top Bottom