Je kwa alama hizi anaweza kujiunga na chuo ngazi ya Cheti?

Mapondo Mapoka

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
267
117
Ndugu yangu alipata C moja ña D moja ktk matkeo ya kidato cha nne,je nichuo gani cha certificate anaweza soma Na course gani kwa bei gani. Mahali popote nchini Tanzania.Asanteni.
 
Ndugu yangu alipata C moja ña D moja ktk matkeo ya kidato cha nne,je nichuo gani cha certificate anaweza soma Na course gani kwa bei gani. Mahali popote nchini Tanzania.Asanteni.
Pole sana ndugu yangu,Ila huyo mtoto anaweza akapata nafasi ya kusoma tena bila mashaka,kama utaitaji msaada wangu unaweza ni-check through 0656415981 ntakusaidia.
 
OK, kwa muda huu ataweza kusajiliwa NECTA ili arudie mtihani? Naombeni ufafanuzi ili kama inawezekana nimsajili faster ajaribu bahati yake ya kuongeza ufaulu. Mtoto akifeli kidato cha nne nivigumu sana kumsaidia labda kibiashara.
 
Back
Top Bottom