MWAMTOBE
Member
- Jun 18, 2012
- 85
- 21
Wadau samahani kuna application nilikuwa nafanya bodi ya mikopo sasa nilishindwa kumalizia kwa sababu sikuwa na passports ya bwana mdogo Na ya baba yake. Sasa kuja kurudi nikitaka Ku log in inagoma kabisa Na nikiingia kwenye application status naambiwa sijakamilisha baadhi ya vitu angali huku naona vipo kamili. What should I do????