julmiranda
Senior Member
- Mar 21, 2016
- 171
- 148
Wale woote tulioanza shule mwaka 1999 huu mwaka ni mwaka wa nuksi kwetu aiseee dah sijui kwa kuwa ndio mwaka ambao baba wa taifa alitutoka khaaa tunapita kipindi kigumu mno katika taalimu yetu hebu tazama
1. sisi ndio tuliokuwa wahanga wa kukoleza sakata la shule za kata
2. sisi ndio tuliokuwa wahanga wa kusoma physics with chemistry na agriculture science kufutwa na bado ikaletwa tena mwezi june mchaka mchaka wake ulikuwa kero physics na chemistry ikatenganishwa
3. reforms nyingi za education curriculum zilibadilikia kwetu halafu wakubwa walikuwa wanasema tunajaribu kumbuka mtiani wa form four wa taifa kwenye tamthilia riwaya na ushairi kwenye mathematics topic ya acountance sijui imekuja siku ngapi tuanze necta
4. sisi tumefanya mtiani mtiani wa taifa form two kwa kurudia darasa ukifeli lkn waliofuata wakapita free , sisi form four tumelipa ada ya mtiani waliofuata wakafanya free with no any examination fee
5. darasa hili ndio lilitia saini ya kukubali kuwa utapelekwa shule yeyote utakayopangiwa na serikali ilimradi ipo tanzania na tukaanguka dole gumba kwenye form za tsm nine zile na kweli hili darasa ndio tukawa wahanga wa shule mpya za advance mikoani mfano mbeya kukawa na ileje , isongole,kyela day ,matema, iwalanje,madibira
6. tukiwa kidato cha sita kwa wale wa hgk, hkl na hgl na hge tukaletewa topic mpya za tafsiri na ukalimani (kiswahili) ,wet land in geography tena zikiwa bado wiki mbili kuanza mtiani wa taifa
7. tulipomaliza form six sisi ndio loan priority za course chuoni zilianza mpaka kupelekea watu kusoma kozi ambazo hawakupanga kufuatana na utaratibu mgumu wa guide book ya TCU ona ualimu ulivovamiwa mtu unamuona kabisa huyu fani yake mziki lkn yupo ualimu kisa loan priority kwa course za chuo zinazokuwa offered kule
8. kibaya sasa hili darasa la 1999 limehitimu chuo hatimae watu wake wamekaaa mwaka mzima mtaaani hawaelewi hata hatma yao ni nini
9.Form two tukaletewa book keeping na commerce tuisome ya tangu form one ila tusome yote form two..hayo ya mungai na mama sitta...
Kuna jaamaaa leo ndio kanichekesha kabisa anakuambia kelvin ningejua kama tutakaaa mwaka ningesoma kozi nyingine ya diploma nikatafuta kibarua kungine cha private nimecheka sana khaaa