Kwa aliyehitimu form six mwaka 2012 akapata E flat, atapata chuo?

Pusha T

Member
Jan 2, 2015
64
22
Wadau kuna MTU hapa nna mdau mwenzangu alipiga EGM mwaka 2012 na alipata E flat yaani EEE Je hapo akiapply chuo mwaka kunakupata kweli
 
Wadau kuna MTU hapa nna mdau mwenzangu alipiga EGM mwaka 2012 na alipata E flat yaani EEE Je hapo akiapply chuo mwaka kunakupata kweli
Mkuu huu utawala ni mwingine kbs km ulishindwa kusoma utawala uliopita huu ni hautaweza lbd ukapige diploma. Nakumbuka kipind kile ukiwa na E mbili tu chuo unasoma bila shida
 
Back
Top Bottom