Natumai hamjambo, wale walioamka na matatizo mbalimbali poleni sana na Mungu muweza atawapa urahisi kuondokana na matatizo hayo.
Baada ya salamu niingiie kwenye swali langu ambalo nikutaka kujua ikiwa mwanafunzi ana C mbili za masomo ya sayansi (Biology na Physics), C moja ya somo la sanaa( Kiswahili) na F ya Math mwanafunzi huyo ataweza kufanya mtihani wa kidato cha 6 kwa comb ya PCM katika kituo cha mitihani au ni lazima areseat math?