Azania imeingia shule 10 za mwisho kidato cha sita

lamar dula

Member
Aug 4, 2015
57
10
Azania kunani jaman,?? Ngozie vip.. Wadau tulisoma azania tupo wapi?
f619d47f-e4bc-44e8-a93f-38580c36dd82.jpg
 
So sad, was my High school, something might be wrong somewhere!
 
Kimetokea nini tena wadogo zetu?mbona mmezingua sana kwa haya matokeo.
katika shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa na nyinyi mpo ndani,tatizo ni nini madogo? mbona sisi kaka zenu hatukuwa vilaza hivyo?m'metuaibisha sana wadogo zetu.
Kibaha,mzumbe,ilboru,tabora boys&girls hongereni sana naona sasa mmeanza kurudisha heshima yenu iliyopotea
 
Kwa kweli haifurahishi hata kidogo, mm nilikuwa nashauri kama humu ndani kuna waliosoma ktk hii shule naomba tujaribu kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kutengeneza utaratibu wa kuwa tunaenda kuongea na hawa wadogo zetu wakati mwingine na kushiriki pia ktk mambo mengine ya kijamii ktk hii shule. Nakumbuka sana enzi za Mr. Kwayu sasa nikiona matokeo kama haya kiukweli haipendezi. Huenda kuna sababu za msingi ambazo zimewafanya wapate hiki kilichoonekana inabidi sisi tuliokaribu na mkoa huu wa Dar tuone jinsi ya kuisaidia shule yetu. Ni wazo tu.
 
mimi sijasoma hpo ila hyo shule ni much respect ila ni majiran zangu sana na nilijiuliza maswal meng bila majibu yaan iweje kwa tz nzima iwe ktk kumi lamwisho? na kwa dar iwe ya mwisho? yaan ipo ktk list moja na wala urojo? daa! fanyeni liwezekanalo mwakan isijirudie ni aibu sana WAKUU
 
Kwa kweli haifurahishi hata kidogo, mm nilikuwa nashauri kama humu ndani kuna waliosoma ktk hii shule naomba tujaribu kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kutengeneza utaratibu wa kuwa tunaenda kuongea na hawa wadogo zetu wakati mwingine na kushiriki pia ktk mambo mengine ya kijamii ktk hii shule. Nakumbuka sana enzi za Mr. Kwayu sasa nikiona matokeo kama haya kiukweli haipendezi. Huenda kuna sababu za msingi ambazo zimewafanya wapate hiki kilichoonekana inabidi sisi tuliokaribu na mkoa huu wa Dar tuone jinsi ya kuisaidia shule yetu. Ni wazo tu.

Inawezekana WhatsApp nayo inachangia. Miaka yetu hapakua na cha kufanya zaidi ya kucheza mpira na kusoma.
 
KISIMIRI SEC #1,AZANIA SEC #9 kutoka mkiani...nile azania ninayoifahamu au ni nyingine iyo.nianze kuwapa hongera wanafunzi na walimu wote wa Kisimiri sec xul kwa kuongoza matokeo ya kitaifa Advance level na vile vile kuwapa motisha wanafunzi&walimu wote wa Azania kuwa kuvuja kwa pakacha sio mwisho wa...hii inaonesha kumbe hata vijijini kuna hazina kubwa sana ya taifa kwa upande wa wataalamu wanafunzi wa kisimiri wameonyesha kuwa wanaweza wakiwezeshwa pale azania sijui tatizo wako jijini tution za kutosha #mkandawile kama bado anafundsha,coral reef wanaziona live bila chenga...natumaini mwakani watakua juu zaidi na hata kuingia 10 bora #Hongereni sana Kisimiri mzidi kukaza buti zaidi
 
Azania, Tambaza, Jangwani na Zanaki hazina kitu siku hizi baada ya kujaza wanafunzi wenye ufaulu hafifu katika mitihani yao ya O level
 
Ila they are not deserve to be in that nafasi walimu wakutosha,materials yakutosha nikupanic au ndo hali halisi iyoo
 
hata lumumba,nimependa tuu hlo jina kuwepo kwenye list.haya sasa nadhani hao ndo wakuitwa vi......
 
Kimetokea nini tena wadogo zetu?mbona mmezingua sana kwa haya matokeo.
katika shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa na nyinyi mpo ndani,tatizo ni nini madogo? mbona sisi kaka zenu hatukuwa ****** hivyo?m'metuaibisha sana wadogo zetu.
Kibaha,mzumbe,ilboru,tabora boys&girls hongereni sana naona sasa mmeanza kurudisha heshima yenu iliyopotea
Wanarudi kwa kuwa Ndalichako hapendi usanii tuuu angekuwa Rais na Ndalichako mwingine ingekuwa goli tuu
 
Back
Top Bottom