Diploma na cheti ualimu

Diploma na cheti ualimu

julmiranda

Senior Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
171
Reaction score
149
Tumeona kwamba matokeo yao pia yametoka leo kww walimu wa cheti na diploma..hivi serikali kwanini isiwaajiri tu na waliomaliza mwaka jana kwakua mpaka sasa ajira bado..au ndo lazima ukae usote kwanza mwaka mzima plus mambo ya bajeti na nini
 
matokeo hayana uhusiano wowote ule na ajira ni moja ya hatua ya kuajiriwa inafuata baada ya matokeo yao kutoka .......
 
Back
Top Bottom