Form six results 2016

tiazo

Member
Jan 24, 2013
68
31
Matokeo ya kidato cha sita 2016 yanatoka lini?
Na grade ni zile zile au zmebadilika tena?
Msaada tafadhali
 
Please wait ndalichako yupo kwanza online.................. Results is loading please wait......................... Network fail try again................. Results is coming soon punguza speed hata form five hawajajulikana
 
Haraka za nini mkuu, ni takriban mwezi tu umeisha tangu wanafunzi wa kidato cha sita wamalize mitihani yao (Kama nawewe unahusika kaa humo).

Vumilia angalau hadi mwezi wa nane hivi au wa saba mwishoni. LABDA.
 
Mbona mna haraka sana au kwa kuwa paper lilivuja mnataka muone mlivyo pasua mbona form four toka February wametulia, 2
 
Kwa utaratibu wa nyuma matokeo ya mitihani ya taifa kidato cha sita hutolewa mwezi wa saba hivyo kuwa na subra mkuu.
 
Grade ni zile za miaka ya 2013 -1985.
Maruhani ya 2014-2015 hayapo tena.
9c61c2f7246889c0eb7bdf8f00fb4b7a.jpg
grade ni hizo mkuu zitakazotumika mwaka 2016 na kuendelea kwaiyo ukituambia grade ni zile za miaka ya 2013 kurudi nyuma unapotosha umma mkuu be serious
 
Back
Top Bottom