Kozi ya Health Services Management

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
738
Kwa waliosoma hii kozi waje watujuze tafadhali.
Mimi nimemaliza form 6 na nimefaulu vyema tu, combination ni HGL.

Je ninaweza soma kozi hii?
 
yeah unaweza kusoma sema competition hua ni kubwa sana so mara nyingi hua wanachukua wenye division 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom