Wale wote tulio na tutakao apply priority courses za 100% loans tukutane hapa

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,198
Zifuatazo ni priority courses zilizotolewa 100% loans na bodi ya mkopo kwa bachelor degree

1.kozi zote za afya (MD, PHARMACY, NURCES, SURGERY, NK)

2 . civil and irrigation /water resources and irrigation Engineering

3. Gas and petroleum Engineering

4. Bachelor degree in science education.

Wote tulio apply na tutakao apply hizi kozi ambazo zimepewa kipaumbele kupewa loans, tukutane hapa tujadiliane.
NB: kumbuka lazima uwe na kuanzia GPA ya 3.5 kwa wenye diploma, na DD2 ya jumla 4point kwa form 6 ili uchaguliwe.
 
Sema una point ngapi au GPA ngapi na ume apply course gani na chuo kipi hatimaye tutatengeneza jukwaa huru la whasap ili tuweze kupeana habari kama kweli tumefanikisha kulingana na miongozo ya bodi ya mkopo na TCU na tutajenga utaratibu wa kubadilishana mawazo
 
Zifuatazo ni priority courses zilizotolewa 100% loans na bodi ya mkopo kwa bachelor degree

1.kozi zote za afya (MD, PHARMACY, NURCES, SURGERY, NK)

2 . civil and irrigation /water resources and irrigation Engineering

3. Gas and petroleum Engineering

4. Bachelor degree in science education.

Wote tulio apply na tutakao apply hizi kozi ambazo zimepewa kipaumbele kupewa loans, tukutane hapa tujadiliane.
NB: kumbuka lazima uwe na kuanzia GPA ya 3.5 kwa wenye diploma, na DD2 ya jumla 4point kwa form 6 ili uchaguliwe.
hebu fafanua kwa wenye GPA 3.5 YA DIPLOMA
 
Mimi nategemea kuaply MD

Tatizo siyo Ku apply ila tunataka unasema unataka Ku apply course fulani na chuo fulani na nina point kadhaa za form 6 ama GPA fulani ya diploma ili ushauriwe kama utapata kulingana na huo ufaulu wako na chuo husika unachotaka
 
hebu fafanua kwa wenye GPA 3.5 YA DIPLOMA

Hapo GPA ya diploma unataka ufafanuliwe nini, maana kila kitu kinaeleweka kulingana na mwongozo wa TCU mwaka huu, ni kwamba ili upate chuo kwa kusomea first degree kwa uliye na diploma lazima uwe na GPA kuanzia 3.5 kwenda juu
 
Mie nina GPA 4.4 ya 2010 Electronics and Telecommunications Eng.
Ninajiandaa kuapply Education in Infomatics and Mathematics. Vipi hapo?
 
Mie nina GPA 4.4 ya 2010 Electronics and Telecommunications Eng.
Ninajiandaa kuapply Education in Infomatics and Mathematics. Vipi hapo?

Emu tusaidie hii course ya education in informatics and mathematics itatolewa na chuo gani?
 
Hivi diploma si wanaomba kupitia NACTE na vp wataombaje wakati hyo NACTE wameshafunga website zao sasa hiv?
 
Back
Top Bottom